Ruka hadi maudhui
Fabstech
Boksi la kipimo cha ovulation Ovaready Midstream na kijiti cha kipimo

Kipimo cha ovulation

Ovaready Midstream

Kwa unapopanga kupata mtoto.

TSh 7,000 kwa boksi

Bei inajumuisha VAT

  • Hukusaidia kujua: Siku zako za rutuba
  • Ndani ya boksi: Vipimo 3 vya midstream
Ungependa kununua vipi?

Idadi

boksi 1

Jumla ya gharamaTSh 7,000

Usafirishaji

  • Dar es Salaam: siku hiyo hiyoTSh 5,000
  • Mikoa mingine: siku 2–3TSh 10,000
  • Kuchukua ofisini kwetu MikocheniBure
  • Usafirishaji bure kwa oda za jumla

Kuhusu bidhaa hii

Tambua siku zako za rutuba zaidi ukiwa nyumbani kwa kipimo rahisi cha midstream.

Maelezo ya bidhaa

Aina
Kipimo cha ovulation
Muundo
Kipimo cha midstream
Kiasi kwa boksi
Boksi / vifuko 3
Katoni ya jumla
Boksi 10
Kiwango cha chini cha jumla
Katoni 10 (boksi 100)